FREEMASON OFFICE TANZANIA – MAHALI, HUDUMA NA JINSI YA KUFIKA
- grand lodge
- Mar 24
- 1 min read
Ofisi ya Freemason Tanzania ni sehemu rasmi ambapo watu wanaotaka kupata taarifa sahihi kuhusu Freemasonry wanaweza kufika, kuuliza maswali, na kupewa maelekezo sahihi ya namna ya kujiunga. Freemasonry ni taasisi ya muda mrefu inayojikita katika maadili mema, kusaidiana, kujenga tabia njema, na maendeleo binafsi ya mwanachama.
Watu wengi wamekuwa wakipata taarifa zisizo sahihi kutoka mitandaoni, ndiyo maana ni muhimu kwa mtu anayehitaji kujiunga au kufahamu Freemasonry afike kwenye ofisi rasmi ili kupata maelezo ya uhakika.
Freemason Office Tanzania Inafanya Kazi Gani?
Ofisi ya Freemason Tanzania ina majukumu yafuatayo:
Kutoa maelezo sahihi kuhusu Freemasonry
Kutoa fomu za kujiunga
Kupokea wageni wanaotaka kufahamu Freemasonry
Kutoa maelekezo ya namna ya kujiunga
Kuelekeza watu kwenye Masonic Lodge zilizo karibu nao
Kujibu maswali mbalimbali kuhusu Freemasonry
Kuelimisha umma kuhusu malengo ya Freemasonry
Jinsi ya Kujiunga Kupitia Ofisi ya Freemason Tanzania
Hatua za kujiunga ni hizi:
Kufika ofisi ya Freemason
Kuomba maelezo kuhusu Freemasonry
Kujaza fomu ya maombi
Kufanyiwa mahojiano
Kusubiri majibu ya maombi
Ukikubaliwa utaelekezwa Lodge ya kujiunga
Kujiunga na Freemasonry siyo kununua uanachama, ni mchakato wa maombi na uchunguzi wa tabia na maadili ya muombaji.
Ili kutazama Lodge iliyoko karibu nawewe katika mkoa wowote wa Tanzania bonyeza link hiyo chini
👇👇👇👇
Faida za Kujiunga na Freemasonry
Baadhi ya faida za kuwa Freemason ni:
Kujifunza maadili mema
Kupata marafiki wa kuaminika
Kujifunza nidhamu na uongozi
Kujiendeleza binafsi
Kushiriki shughuli za kijamii na misaada
Kuwa sehemu ya mtandao wa watu wenye maadili duniani
Tahadhari Muhimu
Freemasonry haiombi pesa za kujiunga kupitia mitandao ya kijamii, WhatsApp au kwa mtu binafsi. Kama mtu anataka kujiunga anapaswa kufika kwenye ofisi rasmi au kuwasiliana kupitia website rasmi ya Freemasonry Tanzania.
Website rasmi ni:




Comments