top of page


Elimu, ukweli, na nuru
Freemasons's hall Dar es salaam
Office ya Freemason ni mahali penye heshima, utulivu na historia ya kipekee. Jengo lina mazingira safi, tulivu na yanayotoa hali ya amani kwa wageni na wanachama. Huduma zinazotolewa hapa zinaendeshwa kwa nidhamu, uadilifu na usiri wa hali ya juu, jambo linaloonyesha misingi imara ya udugu, maadili na kusaidiana katika jamii.Kwa yeyote anayehitaji kufika au kujifunza zaidi kuhusu eneo hili, unaweza kutumia link ya ramani hapa chini kupata maelekezo ya moja kwa moja ya kufika:

bottom of page




