top of page

​Kazi na mafanikio yetu 

​Freemasonry tumekuwa na Faida kubwa katika historia na utamaduni katika sehemu mbalimbali za ulimwengu. Baadhi ya mafanikio yake ni pamoja na kuendeleza maadili ya kijamii, kusaidia jamii kupitia shughuli za hisani, ikiwemo kukuza vipaji kuanzisha michezo mikubwa ulimwenguni kama mipira sanaa ya uigizaji nakadharika na kuwezesha mtandao wa kijamii na kibiashara kupitia uanachama wetu. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa Freemasonry ni taasisi ya siri, hivyo habari zote kuhusu mafanikio yetu hazipatikani kwa urahisi.

TAHADHARI MUHIMU

 
Tafadhali fahamu kwamba Freemason hatutumii mitandao yoyote ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok, YouTube, Twitter, wala hatutumii ujumbe wa simu kuhamasisha au kuwaalika watu kujiunga nasi.
 
Jumbe zozote unazopokea kwenye mitandao au simu zako zinazodai kuwa ni kutoka Freemason ni za ulaghai. Tafadhali zipuuze ili kuepuka kudanganywa au kutapeliwa.
 
Kujiunga nasi ni uamuzi wa hiari, unaohitaji utafiti wa kina na kufuata taratibu rasmi. Kwa msaada na uelewa zaidi, tembelea tovuti yetu rasmi:
 
 
 

© 2023 by Freemasons Tanzania. All rights reserved.

    bottom of page